Habari
Maafisa wa Ukrain na Urusi wapiga ‘Live’ nchini Uturuki
Mjumbe mmoja wa Ukrain amenaswa kwenye video akimshambulia kwa ngumi afisa wa Urusi wakati wa Mkutano wa kiserikali nchini Uturuki.
Kipande hicho cha video kimesambaa kwenye mitandao ya kijamii kinamuonesha afisa wa Urusi akimpokonya bendera mjumbe huyo wa Ukrain alipokuwa ameishikilia nyuma ya afisa mwingine wa Urusi wakati wa mahojiano.
VIDEO BOFYA HAPA
Imeandikwa na @fumo255 video credit Al Jazeera