Majani amuonesha ‘mtu’ anayemuondolea stress!!

Majani na mwanae

Producer wa Bongo Records P-Funk Majani anaweza kuwa kimya kiasi kwenye midani za muziki nchini lakini yupo busy na majukumu mengine muhimu. Super producer huyo yuko busy na ulezi.

Majani aliyewahi kutengeza hits zisizo na idadi za wasanii wa Tanzania ameshare picha ya mwanae wa kike kupitia Facebook na kuandika kuwa mtoto huyo ndiye humpa furaha katika siku mbaya.

“When I’m stressed out she is my relief,” ameandika Majani.

Who is her mother? Maoni haya yanatoa jibu, “Like father like daughter, hahaha Samira hana chake hapo, hi to Samira I miss her.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents