Michezo

Man City wakamilisha usajili wa kinda wa miaka 19 raia wa Brazili Gabriel Jesus

Klabu ya Man City imetangaza kukamilisha usajili wa kinda wa miaka 19 raia wa Brazili Gabriel Jesus anayetoka katika timu ya Palmeiras kwa gharama ya pauni milioni 27.

Gabriel-Jesus-681402

Gabriel Jesus amesaini mkataba wa miaka mitano, makubaliano ya Man City na Palmeras katika uhamisho wa staa huyo ni kuwa atajiunga na Man City baada ya msimu wa Ligi Kuu Brazil utakapokamilika mwezi December.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents