Michezo

Marin Cilic atwaa ubingwa wa Fever Tree Championships mbele ya Novak Djokovic

Mchezaji tennis raia wa Croatia, Marin Cilic amefanikiwa kutwaa ubingwa wa Fever Tree Championships baada ya kumshinda Novak Djokovic kwenye michuano hiyo mchezo uliyochezwa kwenye viwanja vya Queen’s Club hapo jana siku ya Jumapili.

Mcroatia huyo wikiendi hii amemfunga mchezaji namba moja kwa viwango vya ubora duniani, Novak na kutwaa ubingwa wake kwa jumla ya seti  5-7 7-6 (7-4) 6-3.

Cilic mwenye umri wa miaka 29 amefanikiwa kuchukua taji hilo kwa mara ya pili mara baada ya kumshinda, Feliciano Lopez .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents