Masanja, Shilole na Goodluck Gozbert wasitisha kugawa barakoa na sanitizer Mbagala, wanaleta fujo (+ Video)

Leo @mkandamizajii alikuwa Mbagala katika kutoa misaada kwa akina mama ntilie hasa vifaa vya kujikinga na CORONA kama Sanitizer, Barakoa, Ndoo za kunawia maji kwa kuungana na mabalozi wake ambao ni @officialshilole @goodluckgozbert na @unclejimmytz maeneo ya Mbagala kituo cha daladala.

Related Articles

Back to top button