Burudani

Mashekhe na Mapadri wameniombea imeshindikana, Watanzania nichangieni na mimi nizae – Diva (+video)

Wakati kuna wanawake wanatupa vichanga majararani bila hata hofu ya Mungu, upande mwingine wapo wanawake ambao wanahangaika kila uchwao kutafuta watoto kwa udi na uvumba.

Mfano wa Wanawake hao ni Mtangazaji wa kituo cha Radio cha Clouds FM ambaye amekiri wazi kuwa amehangaika kwa kipindi kirefu kutafuta mtoto lakini imekuwa ikishindikana kumpata.

Akielezea safari hiyo, Diva amedai kuwa ameombewa na Mashekhe  na Mapadri na kunywa kila aina ya dawa ya uzazi lakini hajafanikiwa hadi alipopewa majibu na wataalamu kuwa mirija ya uzazi imeharibika hivyo hataweza kuzaa kwa njia ya kawaida.

Diva kwa sasa anawaomba Watanzania wamsaidie kwa kumchangia kiasi cha dola $7,000 ambacho ni zaidi ya Milioni 15 ili aweze kwenda Marekani kwa ajili ya IVF Treatments yaani mfumo wa kupandikizwa mbegu za kiume.

Related Articles

125 Comments

  1. Eeeeeeh cc tn masikin tukchngie wkt ulitudhllsh kw kusem bila ya milion miatano hutk kuolew 😁 n hutk mwanaum asyjua kizng daaaah ama kwel mng mkubw leo hii untk michng kwet kwn zil milion miatn zmeish au

  2. First of all inabidi ujuwe gisi ya kuomba na kulomba, usikate tamaa Mungu ni Mungu, Mungu akitaka hata upandikizwe hazitazaliwa, usioneshi kama unataka umpinge Mungu, wapo ambao waneolewa wako kwenye ndoa myaka na myaka hawajabahatika kupata mtoto na wala hawana tatizo lolote, Mungu anatoa anapotakia yeye mwenyewe, Kuombewa kwako ili uzae na hauko kwenye ndoa kuna maana gani?? Hata waliekuombea hawajuwi walichokua wanakifanya, INABIDI 1)UTUBU ZAMBI ZAKO ZOTE,2) UTAFUTE NDOA, 3) UOMBE MTOTO

  3. Ukubaliane tuu na mapenzi ya mola………tanzania itajaa tuu na specie ya binadam itaendlea kuexist bila wewe kuzaa…..na sio wa kwanza wewe kuwa na hali hiyo ….kuwa na imani muombe mungu zaid

  4. Tatizo unatembea na matozi watoto wamama chips mayai kuna watu bao moja tu mimba wewe unachagua mara unataka mwenye hela nyingi anaejua kizungu sasa hao nguvu hamna utahangaika nao weeee mwishoe utaitwa bibi na watoto wa wenzio

  5. Una jua cku zote uki jiweka juu ipo cku mungu ata kudharirisha una jua diva una jiona kama hufi una jiona ww ume maliza mm nina apa kwa jina mungu ww hina haja ya kwenda hospital yoyote ile ww una zaa vizuri vizuri mungu ame tutofautisha huyu ame mpa kipa huyu amempa ujuz wa miti nina rudia tena ww huna haja ya kwenda popote uta tupa pesa to endapo yupo mtu ana jua diva aingie dm kwa jina hili hili la fb nita muuliza maswali yangu matatu aki jibu hivyo vitu akiwa ana viona hutokea mm nita fanya nina kijua azae Aksante

  6. Ndio ujifunze kuwa mungu aziakiwi na ukiwa unaongea uwe unaweka akiba ya maneno sawa dada ulisema mwanaume anayetaka kukuoa aje na milioni 500 pili ukasema wewe matumizi yako kwa mwezi milion 15 sio sasa leo imekuwaje kuwaomba walalaoi ela za kupandikiza mbegu tena unasema ata mbegu za kitanzania sawa wakati mwanzo ulisema kama kuzaa basi utazaa na neymar wala si mwanaume yoyote apa bongo😂😂😂😂😂😁😁😁muombe mungu wako na utubu makosa yako bwingo wewe

  7. Aliongea maneno ya kejeli kiasi ya kwamba sisi tulio maskini tumependa kuwa ivi ndio ajue mungu utoa kwa mafungu na kwa wakati pia ukipata usiwasau wenye uitaji yeye akawa anatukana baba maguuuuu eheeee sasaivi heshima ipo 😂😂😂

  8. Tatzo Lako Diva Ni Msenge Tena Waajabu Izo Milion 15 Unazozitumia Kwa Weki Moja Ungeendelea Kuziweka Ungepata Wap Mda Wakuwaomba Wa T.z Kukuchangia .? Nakuhuxu Kupata Mimba Hilo Sio Tatzo Njoo Nikupandikize Mm Tatzo Unaotembea Nao Kwanza Wala Chebese 2 Nyama Nyama Mayayi. Wala Hawajuw Kula Mboga Mboga Ugal Dona Maziwa, Unadhan Wanapata Wap Nguvu Zakukuzalia Ww..?

  9. Pia mm anaomba kweli au comedy kwani kauli zake azina ata mwaka anataka kuolewa m 500vleo tena anawachangisha watu wa all ya chini ujana uwa unawadanganya si kazi ametoa sanaa izo mimba sasa anasaka kwa tochi kweli dawa ya homa Kali ni sindano japo inauma Maneno rwiza mbutu

  10. Kamwombe mamako kwakuwa mlixhatuona watanzania kuwa ni mafara ss kunguni kama we me naomba hata ukipata pesa ukifanyiwa uparexhen nayo ixhindikane na usizae na mkome kuropokaropoa ka mwambie mamako akuchangue ngombe ww

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents