Michezo

Matokeo ya mechi za Europa League zilizochezwa Alhamisi October 20

Michuano ya EUROPA League iliendelea usiku wa October 20 2016, jumla ya michezo 24 ambayo ilichezwa katika viwanja tofauti tofauti barani Ulaya.

ynlktkqturbxy9lmzg0nzvmndcxzgrhndk3yzblm2q2mtgxmjcxyji4zs5qcgvnk5udagrndadnbsctbc0dfm0bvjuh2tivchvsc2ntcy9nrefflze0mgixy2zln2ywywm1mmvkyzaxmgq3mdk3ogu4ngjllnbuzwdcaa
Mtanzania Mbwana Samata

Timu ya Genk ambayo anaichezea Mtanzania Mbwana Samata iliibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Atletico Bilbao na kukusanya pointi tatu wakiutumia vyema uwanja wao wa nyumbani Cristal Arena, Samatta aliingia dakika ya 56 kipindi cha kuchukua nafasi ya Thomas Buffel.

3990afb600000578-0-image-m-21_1476998615885

Manchester United nao waliibuka na ushindi mnono wa 4-1 dhidi ya klabu ya Fenerbahce katika kundi A.

Matokeo ya mechi zote za Europa League zilizochezwa Alhamisi October 20

matokeo-europa-league

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents