Michezo

Merseyside derby yaamuliwa kwa sare si Everton wala Liverpool

Klabu ya Everton imefanikiwa kuchomoza na sare tasa ya bila kufungana dhidi ya kikosi mahiri kwa sasa cha Liverpool kwenye mchezo uliyopigwa kwenye dimba la Goodison Park  ligi kuu soka nchini Uingereza.


Kinyume na ilivyotarajiwa na watu wengi Liverpool imelazimishwa sare hiyo ya 0 – 0 licha yakuonyesha kandanda safi kwenye mchezo uliyopita wa klabu bingwa barani Ulaya dhidi ya Manchester City na kufanikiwa kuchomoza na ushindi mnono wa mabao 3 – 0.
Kwenye mchezo huo uliyomalizika pasipo kutolewa hata kadi moja ya njano unaifanya klabu ya Everton kuhisi kama imefanikiwa zaidi hasa ukilinganisha uwezo wa vikosi vya timu zote mbili

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents