Habari

Mimi ni chawa wa Rais Magufuli kuanzia leo – Babu Tale mbunge wa Morogoro Vijijini Kusini Mashariki (+Video)

“Mhe. Rais Magufuli, mimi ni mmoja kati ya watu wanaotembea kifua mbele nikiona maajabu yako kwangu, kwasababu umenitoa chini kuniweka juu na kunipa heshima, hizi zote ni nguvu zako kupitia Chama Cha Mapinduzi, Mimi kuanzia leo ni Chawa wa John Pombe Magufuli.”- Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Kusini Mashariki, Hamisi Shaban Taletale maarufu kama Babu Tale, leo Februari 12

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents