Burudani
MUSIC VIDEO: DJ Davizo – Kamata
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ukipenda muite Mfalme wa Dance Hall nchini Tanzania, DJ Davizo (@selektadavizo) ameachia ngoma yake mpya ‘KAMATA’.
Unaweza kusikiliza hapa chini na kuacha comment yako juu ya uwezo wake, Pia kutazama full video nenda kwenye Bio yake. Cc @selektadavizo @Bundukimusic
https://youtu.be/Y2YrU1d7P9Hug