Burudani

Mirabaha Kenya Kizungumkuti mtupu, Elani wausema ukweli na kile walicholipwa

Wakati ambapo wasanii wa Tanzania wakiwa kwenye sintofahamu kuhusiana na suala la kulipwa mirabaha inayotokana na uchezwaji wa kazi zao kwenye redio na TV, huko Kenya waliokoanza utaratibu huu mambo si mambo!

Chama cha haki miliki cha Kenya, MSCK kinashutumiwa na wasanii kwa kuwalipa sivyo mirabaha yao ikiwa pamoja na kutumia vibaya fedha zao.

Kundi maarufu la Elani limeamua kuusema ukweli kwa kutoa malalamiko yao.

“The structures within the music industry in Kenya have failed the musician,” wanasema kwenye video yao waliyoipa jina #ElaniSpeaks.

“Those entrusted to distribute the money which is generated by our hard work have failed us. The organizations whose sole purpose is to manage and distribute the funds that our blood, sweat and tears have created have failed us. We spent all we had to make the best music we could. We sincerely deserve to get our due.”

Tazama video yao hapo juu kuwasikia zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents