Mahojiano
Mr T Touch: Ngumu kumbadilisha msanii mkubwa kuacha kuimba nyimbo za matusi wakati amelipia studio (+ Video)
Usiku wa jana zimezinduliwa Studio mpya kabisa ambazo zipo chini ya Producer @davymachords zinazojulikana kama #MEVID.
Mmoja wa Producer aliyehudhuria ni @mrttouchez licha ya kuongea mambo mengi lakini pia Davy Machords naye aliongea ya kwake wasikilize.