Habari

Msanii wa muziki wa Hip hop Rwanda Jay Polly, afariki ghafla

Vyombo vya habari nchini humo zinasema kuwa Joshua Tuyishime alikimbizwa hospitalini kutoka gereza kuu laKigali baada ya kupatwa na ugonjwa usiojulikana Jumatano usiku.

Jay Polly mwenye umri wa miaka 33 alikamatwa mwezi Aprili kwa makossa ya matumizi ya dawa za kulevya, na kesi yake ilikuwa inaendelea.

Jay Polly,

Kaka yake Maurice Uwera amesema kuwa mamlaka ya huduma za magereza nchini Rwanda , “imeniambia”kuhusu kifo chake, lakini hakutoa maenelezo zaidi.

RCS bado haijatoa maelezo kuhusu kifo cha nyota huyo wa muziki.

Mashabiki wengi wa muziki nchini Rwanda ambao walimfahamu Jay Polly kwa zaidi ya muongowamuziki wake wamekuwa wakitoa rambi rambi zao kupitia mitandao ya kijamii.

Bofya hapa chini kushudia moja ya wimbo wake.

https://www.instagram.com/p/CTUGZ7wDd_W/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents