Michezo

Msemaji mpya Yanga, Antonio Nugaz achimba Mkwara mzito ‘Wape salamu zangu, chuma kimetua/ Walitunyanyasa'(+video)

Msemaji wa klabu ya Yanga, Antonio Nugaz ameanza kiajira yake kwa kutema cheche wakati akitambulishwa mbele ya vyombo vya habari hii leo siku ya Jumatatu ya tarehe 23 Septemba 2019.

”Wape salamu zangu, waambie CHUMA kimetua Jangwani, waliinyanyasa sana Yanga hapa kati. Nitaongea kwa sauti yenye mamlaka, msemaji wa Yanga na Muhamasishaji nitasimama mimi.” – Amesema Nugaz.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents