HabariSiasa

Msigwa: Hakuna Askari aliyefukuza mwananchi Loliondo

Serikali imesema kwamba hakuna Askari yeyote aliyekweda kumfukuza mwananchi wa Loliondo kwenye eneo lake, bali kinachofanyika ni zoezi la uwekaji wa mipaka kati ya hifadhi na eneo la wananchi.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa.

Kauli hiyo imetolewa hii jana Juni 12, 2022, Jijini Dodoma, na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa.

“Kinachofanyika Loliondo hakuna Askari aliyekwenda kumfukuza mwananchi wa Loliondo aondoke kwenye eneo lake, lile eneo lina KM za mraba 4000 serikali kwa makubaliano na wananchi tulitenga eneo la KM 2500 litumiwe na wananchi na KM 1500 libaki kwa ajili ya hifadhi,” amesema Msigwa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents