Habari

Mtu wa kwanza ajitolea kufanyiwa majaribio ya chanjo ya virusi vya corona 

Binadamu wa kwanza kufanyiwa jaribio ya chanjo ya kinga dhidi ya virusi vya corona ameanza kufanyiwa jaribio hilo nchini Marekani.

vaccine

Wagonjwa wanne walidungwa sindano ya virusi katika kituo cha utafiti Kaiser Permanente mjini Seattle, Washington, limeripoti shirika la habari la Associated Press.

Chanjo hiyo haiwezi kusababisha Covid-19 lakini ina jeni la virusi ambavyo vinaweza kusababisha ugonjwa.

Wataalamu wanasema itachukua miezi mingi kujua ikiwa chanjo hii, au utafiti mwingine, utafanikiwa.Matumizi ya kemikali ya kuua wadudu na vimelea kwa kusafisha mikono imetajwa kuwa moja ya njia ya kuepuka maambukizi ta virusi vya coronaMatumizi ya kemikali ya kuua wadudu na vimelea kwa kusafisha mikono imetajwa kuwa moja ya njia ya kuepuka maambukizi ta virusi vya corona

Mtu wa kwanza kujitolea kupata dozi ya kwanza ya utafiti huo siku ya Jumatatu ni mama wa watoto wawili mwenye umri wa miaka 43 mkazi wa Seattle Washington.

“Hii ni fursa ya kufurahisha kwangu mimi kuweza kufanya kitu fulani,”alisema mama huyo aliyetambuliwa kama Jennifer Haller katika mazungumzo na shirika la habari la AP.

Wanasayansi kote duniani wanaharakisha utafiti wao kujaribu kupata chanjo au tiba ya coronavirus.

Na jaribio hili la kwanza kwa binadamu,lililodhaminiwa na Taasisi ya Kitaifa ya Afya nchini Marekani, umefanyika kando ili kuangalia kile ambacho kwa kawaida kingekua kikifanyika kuhakikisha chanjo inaweza kusababisha kuchochewa kwa kinga ya mwili katika wanyama.

Lakini kampuni ya teknolojia ya masuala ya vimelea wa magonjwa ambayo ndiyo inayoendesha utafiti huo, Moderna Therapeutics, inasema kuwa chanjo imekwishakutengenezwa kwa kutumia mchakato uliojaribiwa na kupimwa.

Taarifa za coronavirus

Binadamu wa kwanza kufanyiwa jaribio ya chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa corona ameanza kufanyiwa jaribio hilo nchini Marekani.

Wagonjwa wanne walidungwa sindano ya virusi katika kituo cha utafiti Kaiser Permanente mjini Seattle, Washington, limeripoti shirika la habari la Associated Press.

Chanjo hiyo haiwezi kusababisha Covid-19 lakini ina jeni la virusi ambavyo vinaweza kusababisha ugonjwa.

Wataalamu wanasema itachukua miezi mingi kujua ikiwa chanjo hii, au utafiti mwingine, utafanya.

Mtu wa kwanza kujitolea kupata dozi ya kwanza ya utafiti huo siku ya Jumatatu ni mama wa watoto wawili mwenye umri wa miaka 43 mkazi wa Seattle Washington.

“Hii ni fursa ya kufurahisha kwangu mimi kuweza kufanya kitu fulani ,”alisema mama huyo aliyetambuliwa kama Jennifer Haller katika mazungumzo na shirika la habari la AP.

Wanasayansi kote duniani wanaharakisha utafiti wao kujaribu kupata chanjo au tiba ya coronavirus.

Na jaribio hili la kwanza kwa binadamu, lililodhaminiwa na Taasisi ya Kitaifa ya Afya nchini Marekani , umefanyika kando ili kuangalia kile ambacho kwa kawaida kingekua kikifanyika kuhakikisha chanjo inaweza kusababisha kuchochewa kwa kinga ya mwili katika wanyama.

Lakini kampuni ya teknolojia ya masuala ya vimelea wa magonjwa ambayo ndiyo inayoendesha utafiti huo -Moderna Therapeutics, inasema kuwa chanjo imekwishakutengenezwa kwa kutumia mchakato uliojaribiwa na kupimwa.

Chati inayoonyesha dalili za coronavirus
Image captionChati inayoonyesha dalili za coronavirus

Dkt John Tregoning, mtaalamu katika magonjwa ynayoambukia katika taasisi ya Imperial College mjini London, Uingereza,amesema: “Chanjo hii imetumia Teknolojia iliyokuwepo awali.

“Imefanyika kwa kiwango cha hali ya juu, kwa kutumia vitu ambavyo tunavyofahamu ni salama kuvitumia katika watu na wale wanaoshiriki katika jaribio hili watakua wakifuatiliwa kwa karibu sana.

“Ndio, hili limefanyika haraka sana-lakini ni mbio dhididi ya virusi, sio dhidi ya kati ya mwanasayansi na mwanasayansi , na inafanyika kwa manufaa ya binadamu .”

Chanjo halisi ya virusi kama vile vinavyosababisha magonjwa kama surua(ukambi) hutengenezwa kutokana na virusi vilivyodhoofishwa au vilivyokufa.

Lakini chanjo ya mRNA-1273 haijatengenezwa kutokana na virusi vinavyosababisha Covid-19.

Badala yake, inajumuisha kipande kifupi cha aina ya jeni iliyonakiliwa kutoka kwa virusi ambavyo wanasayansi wamemeweza kuvitengeneza katika maabara.

Unaweza pia kusoma:

Chanjo hii huenda ikasaidia mwili kujitengenezea mfumo wake wa kinga wa kupigana na ugonjwa halisi.

Waliojitolea kufanyiwa jaribio la chanjo walipewa dozi tofauti za jaribio la chanjo.

Kila mmoja atadungwa sindano mbili za virusi kwa ujumla, baada ya siku 28, kwenye mshipa wa sehemu ya juu ya mkono.

Lakini hata kama vipimo vya awali salama vimefanikiwa, bado inaweza kuchukua hadi miezi 18 kuweza kuwa na uwezekano wowote wa chanjo kuweza kupatikana kwa umma.

Ramani ya Coronavirus: Kasi ya kusambaa kwa virusi 17 Machi 2020

Maelezo haya yanatokana na data za mara kwa mara kutoka Chuo kikuu cha Johns Hopkins na huenda yasiangazie hali halisi ya mambo yalivyo katika kila nchi.

Jumla ya visa vilivyothibitishwa Jumla ya vifo
181,968 7,153
Visa Vifo
Uchina 81,049 3,230
Italia 27,980 2,158
Iran 14,991 853
Uhispania 9,942 342
Korea Kusini 8,320 82
Ujerumani 7,272 17
France 6,637 148
Marekani 4,594 85
Uswizi 2,330 19
Uingereza 1,544 55
Netherlands 1,413 24
Norway 1,347 3
Sweden 1,121 7
Belgium 1,058 5
Austria 1,018 3
Denmark 914 3
Japan 825 27
Mili ya Diamond Princess 696 7
Malaysia 566
Qatar 439
Canada 413 4
Australia 377 3
Ureno 331 1
Ugiriki 331 4
Jamuhuri ya Czech 298
Finland 277
Israel 255
Slovenia 253 1
Singapore 243
Bahrain 214 1
Estonia 205
Brazil 200
Kashmir inayotawaliwa na Pakistan 183
Iceland 180
Poland 177 4
Ireland 169 2
Romania 168
Chile 155
Misri 150 2
Thailand 147 1
Ufilipino 142 12
Indonesia 134 5
Saudi Arabia 133
Iraq 124 10
Kuwait 123
India 119 2
San Marino 109 7
Lebanon 99 3
Milki za Kiarabu 98
Urusi 93
Peru 86
Luxembourg 77 1
Slovakia 72
Taipei ya China 67 1
Afrika Kusini 62
Vietnam 61
Serbia 57
Croatia 57
Argentina 56 2
Panama 55 1
Brunei Darussalam 54
Colombia 54
Algeria 54 4
Mexico 53
Armenia 52
Bulgeria 52 2
lbania 51 1
Uturuki 47
Maeneo ya Wapalestina 43
Hungary 39 1
Ecuador 37 2
Morocco 37 1
Belarus 36
Costa Rica 35
Latvia 34
Cyprus 33
Georgia 33
Malta 30
Moldova 29
Uruguay 29
Sri Lanka 28
Bosnia na Herzegovina 25
Senegal 24
Oman 22
Afghanistan 21
Tunisia 20
Macedonia Kaskazini 18
Visiwa vya Faroe 18
Jordan 17
Lithuania 17
Venezuela 17
Guiana ya Ufaransa 16
Martinique 15 1
Burkina Faso 15
Azerbaijan 15 1
Maldivers 13
Jamuhuri ya Dominica 11
Bolivia 11
Jamaica 10
Kazakhstan 10
Kisiwa cha Reunion 9
New Zealand 8
Jersey 8
Uzbekistan 8
Bangaldesha 8
Paraguay 8
Rwanda 7
Monaco 7
Cambodia 7
Ukrain 7 1
Ghana 6
Guadeloupe 6
Honduras 6
Ethiopia 5
Cuba 4
Guyana 4 1
Liechtenstein 4
Mongolia 4
Trinidad and Tobago 4
Cameroon 4
Guam 3
Puerto Rico 3
Polynesia ya Ufaransa 3
Saint Barthélemy 3
Ushelisheli 3
Kenya 3
Aruba 2
Guatemala 2 1
Kosovo 2
Namibia 2
Nigeria 2
Saint Lucia 2
Saint Martin (Eneo la Ufaransa) 2
Andorra 2
Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo 2
Benin 1
Bhutan 1
Visiwa vya Cayman 1 1
Jamuhuri ya Afrika ya Kati 1
Congo 1
Cote d’voire 1
Netherlands Antilles 1
Equitorial Guinea 1
Eswatini 1
Antigua na Barbuda 1
Greenland 1
Guernsey 1
Guinea 1
Vatican 1
Liberia 1
Mauritania 1
Mayotte 1
Nepal 1
Congo 1
St St Vincent na Gradines 1
Somalia 1
Sudan 1 1
Suriname 1
Tanzania 1
Bahamas 1
Togo 1
Gabon 1

Chanzo: Chuo kikuu cha Johns Hopkins (Baltimore, Marekani), maafisa wa eneo

Mara ya mwisho kufanyiwa mabadiliko 17 Machi 2020, 04:00 GMT +1.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents