Habari

Muingereza avunja rekodi ya dunia ya Guinness kwa kutembelea nchi 193 bila ndege

Raia wa Uingereza amevunja rekodi ya kitabu cha maajabu ya dunia cha Guinness kwa kuwa mtu wa kwanza kutembelea nchi zote 193 wanachama wa umoja wa mataifa bila kutumia ndege.

Graham Hughes alitumia miaka minne kusafiri duniani kote na kutembelea jumla ya nchi 201.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents