Muziki

Music: Alicia Keys f/ Kanye West & Travis Scott – In Common (remix)

Muimbaji wa RnB, Alicia Keys ameachia remix ya wimbo wake ‘In Common’ ambao original yake aliachia mwezi May mwaka huu. Kwenye remix ya wimbo huo amemshirikisha Kanye West na Travis Scott. Sikiliza hapa wimbo huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents