Burudani
Mwana Fa: wasanii wanaendelea kupoteza hela zao mnawaletea sheria zisizo na kichwa wala miguu kuwakandamiza
Kupitia ukurasa wake Instagram Mbunge wa Muheza Khamis Mwinjuma alimaarufu Mwana FA ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram.