Bongo Movie

Mzee Majuto aanza project ya kurekodi filamu 100! Asema akimaliza anapumzika kufanya filamu

Mchekeshaji mkongwe, Amri “Mzee Majuto” Athumani amefunguka na kuweka wazi project yake mpya ya kuandaa filamu 100.

Mzee-Majuto-akifurahia-ushindi
Mzee Majuto akifurahia baada ya kuibuka mshindi wa msanii wa filamu anayependwa

Majuto ameiambia Bongo5 kuwa amefanya hivyo ili baada ya kumaliza kazi hizo apate muda wa kupumzika wa kutosha.

“Yeah na shoot na edit halafu nahifadhi, zikifika 100 nakaa na kupumzika nakula bata, makampuni kama yakihitaji filamu mimi nawapa, mpaka sasa nipo ya sita, nyingi itakuwa nazi-shoot huku Tanga,” alisema Mzee Majuto.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents