Burudani

Natamani watu waingie WCB waone maisha yalivyo mazuri – Lava Lava

Msanii mpya wa WCB, Lava Lava amedai kitu ambacho watu hawakijuhi kutoka WCB ni maisha mazuri wanayoishi wasanii wa label hiyo wakiwa ndani.

Akizungumza na Bongo5 Wiki hii, Lava Lava amedai ukiachana na pesa,ndani ya WCB kila kitu kinapatikana.

“Kitu ambacho watu hawakijuhi kuhusu WCB, sisi tunalimit tumepewa ndani ya WCB, lakini unaweza kuhisi labda kuna vitu tunakosa, lakini kila kitu ambacho unakijua wewe kipo mule ndani. Kuna wachekeshaji, kuna vitu vyote, yaani siku moja ukipata nafasi ya kuingia mule ndani utaona watu wanavyoishi kwa raha na kusahau vyote vinavyoendelea huku nje,” alisema Lava Lava.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents