Burudani

New Music: Cindy Rulz f/ Jade – Kila Siku

Fresh kutoka kudondosha verse kali kwenye mradi wa Dada Hood (Hola Hola), wimbo wa Cindy Rulz, Jade umenifikia mkononi kupitia website moja ya muziki. Kwenye wimbo huu uitwao ‘Kila Siku’ Cindy amemshirikisha Jade.

Hata hivyo Cindy ameiambia Bongo5 kuwa huu si wimbo rasmi na kwamba umevuja tu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents