Burudani
New Music: Professor Jay f/ Sholo Mwamba – Kazi Kazi
Ngoma mpya na ya kwanza ya Professor Jay tangu achaguliwe kuwa mbunge mwaka jana. Inaitwa Kazi Kazi na amemshirikisha muimbaji wa Singeli Sholo Mwamba.