Burudani
New Music Video: Hakeem Bamuyu X Barakah The Prince – Ungeniambia
Kutoka BANA Music Hakeem Bamuyu akiwa ameshirikiana na Barakah The Prince wameachia video ya wimbo mpya wa Ungeniambia. Audio imetengezwa na Shedy Clever na Video imeongozwa na Joowzey.Tazama kichupa hapa chini