Burudani

Nick Cannon aweka rekodi ya dunia ya kuchukua selfies nyingi ndani ya saa moja

Mtangazaji wa TV, Nick Cannon amevunja rekodi ya kuchukua selfies nyingi ndani ya saa moja.

Nick+Cannon+America+Got+Talent+Red+Carpet+RlTY0TJmWv8l

Cannon, 34, ambaye ametengeneza rekodi ya dunia, amesema alichukua mafunzo ya kupiga selfies. Jaribio hilo lilikuwa ni sehemu ya promotion ya kampuni moja ya simu.

Cannon alipiga selfies 283 mfululizo katika saa moja na kuvunja rekodi iliyokuwepo ya selfies 279 katika muda huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents