Technology

Twitter kuanza kukuonesha baadhi ya tweets za watu usiowafollow

Mtandao wa Twitter Ijumaa hii umesema utaanza kuonesha tweets za watu ambao mtumiaji hajawafollow lakini ambazo wanaamini mtumiaji anatufurahi kuziona kwenye timeline yake.

how-to-email-tweets-directly-from-twitter-s-website-692a5ff817

Tweets hizo zitatokana na kile mtumiaji wa mtandao huo hupenda kuona.

“Katika kesi nyingi, tweets bora hutoka kwa watu ambao unawafollow tayari au unawafahamu,” kampuni hiyo ilisema. “Lakini, kuna wakati unaweza kumiss tweets ambazo tunadhani ungezifurahia.”

“Hiyo inamaanisha kuwa wakati mwingine utaanza kuona tweets kutoka kwenye akaunti ambazo huzifollow.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents