Habari

Nicki Minaj asogeza mbele tarehe ya kutoa album mpya ‘The Pinkprint’

Nicki Minaj ambaye leo Jumanne (Oct. 28) anatarajia kuachia single mpya aliowashirikisha wasanii watatu, amesogeza mbele tarehe ya kutoa album yake ya tatu.

nicki M

Sasa ‘The Pinkprint’ inatarajiwa kutoka December 15 badala ya November 24 iliyokuwa imepangwa awali.

Mashabiki wa Minaj wanasubiri kwa hamu kuisikia single yake mpya ‘Only’ ambayo kawashirikisha Chris Brown, Drake na Lil Wayne kwa pamoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents