Burudani

OCJ aachia EP mpya, ni moto wa kuotea mbali

Ni Ep mpya kutoka kwa msanii OCJ @itsocj_ kutokea nchini Nigeria ambaye anakukaribisha Kutazama na kuisikiliza EP yake aliyoipa jina la “The African Prince” Ep ambayo ina Nyimbo 9 ndani yake.

 

 

Na kwa sasa moja ya Wimbo wake unaofanya Vizuri ni “Familiar ”
uliotayarishwa na Solid keys.

Kuwa Karibu zaidi na Ocj unaweza kumfatilia kwenye ukitaka wake wa Instagram @itsocj_

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents