Burudani

Peter Msechu aziweka pembeni kolabo

Peter Msechu amesema baada ya kuachia single yake ‘Malava’inayofanya vizuri kwa sasa, amesema hana haraka ya kufanya kolabo na msanii mkubwa.

1447763586_3631_b

Mchechu ameiambia Bongo5, “Kwa sasa hivi sina haraka sana ya kufanya kolabo na msanii yeyote wa nje, naweka kwanza sawa hapa nyumbani itakapokuwa tayari sasa kufanya kolabo nitasema.”

Kuhusu kipindi chake cha TV na Baba Levo, Msechu amesema:

“Sasa hivi Baba Levo yupo busy na majukumu ya kiserikali na mimi pia nipo busy naweka mambo yangu sawa tutapokuwa tumetulia tutatoa taarifa lakini hilo suala bado lipo na tuombe uzima tu.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents