Burudani

Picha: Jaguar alitua Dar na ndege yake binafsi ‘Air Jaguar’

Msanii wa Kenya Jaguar alitua Dar es salam hivi karibuni kufanya promotion ya wimbo wake mpya ‘Kioo’ kwa kutumia usafiri wake binafsi wa ndege ‘Air Jaguar’
jaguar6

Mbali na muziki Jaguar pia ni mfanyabiashara mkubwa Kenya anayemiliki magari ya kifahari pamoja na nyumba.

Picha za ndege ya jaguar pamoja na baadhi za picha alizopiga na wasanii wa Tanzania.
jaguar41
Air Jaguar’

15e33b5c81c711e39b8c12e1ca8d9d0e_8
Jaguar na Chidi Benzi

jaguar21

Jaguar na Ommy Dimpoz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents