Bongo5 Exclusives
Picha: Kichanga chaokotwa kikiwa kimetupwa chini ya Mlima Kivesi (Arusha)
Hizi ni picha tulizozipata kwenye mtandao wa Jamii Forum zikiwa na maelezo: MAJONZI, HUZUNI, NA SIMANZI ZIMETAWALA LEO MAENEO YA KIJENGE JUU KATA YA KIMANDOLU ILIYOKO MKOANI ARUSHA BAADA YA KITOTO KICHANGA KUKUTWA KIMETUPWA CHINI YA MLIMA KIVESI. Hakuna maelezo kuwa kichanga hicho kinekutwa hai kwakuwa mtu aliyeweka picha ametumia maneno kama ‘mwili’ wa mtoto huyo kumaanisha kuwa hakuwa hai. Tahadhari kuna picha mbaya.