Siasa

Picha: Rais Kikwete afanya mazungumzo na Rais Kagame leo, (ICGLR Summit, Kampala)

Rais Jakaya Kikwete leo amefanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala, Uganda.

9676687273_13e1849eb2_b

Haijafahamika mara moja walichozungumza, hizi ni picha za mkutano wao.

9676681299_b3707d20a5_c

9676687273_13e1849eb2_b

9679917620_3f83a214d0_b

Marais hao wamekutana wakati ambapo uhusiano kati ya nchi hizo mbili unaendelea kuzorota.

Picha: Paul Kagame, Flickr

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents