Burudani

Picha: Terrence J, David Banner, Chaka Zulu waanza kutembelea hifadhi za Taifa

Baada ya kumaliza kutoa semina kwa wasanii wa Tanzania, wadau wa muziki kutoka Marekani Terrence J, David Banner na Chaka Zulu, wameanza kutembelea hifadhi za taifa ili kujionea vivutio mbalimbali kutoka kwenye hifadhi hizo. Hizi ni baadhi ya picha zao.

Terrence J, David Banner na Chaka Zulu wakiwa kwenye gari la safari
David Banner na Chaka Zulu wakiwa kwenye gari la safari
x
Terrence J
10520354_829361793742059_1316314398_n

1599399_1441572369443466_260755381_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents