Burudani

Pipi kuanza masomo Bagamoyo

Msanii wa kizazi kipya mwenye sauti ya kuvutia Doreen Aurelian Ponera anayejulikana zaidi kwa jina la PipiĀ  ambaye aliwahi kutamba na kibao chake cha ‘Njia Panda’ akiwa na Barnaba ameamua kujitosa Skuli aingie Bagamoyo na kuongeza ujuzi zaidi. Akiongea na Bongo5 pipi amesema kuanzia Mwezi wa 8 tarehe 10 atakuwa akipatikana kwa shida cos masomo yatakua ndio yameanza na atakua akisomea Major Music and Minor Drama kwa miaka mitatu.

Pipi ameongeza kwamba katika kipindi cha masomo yake licha ya kuwa busy na masomo lakini hatokuwa mbali na mashabiki wake, atakua akiendelea kuwapa ladha ya muziki wake kama kawaida.

PipiĀ  yupo mbioni kuachia video yake mpya ya track yake aliyoachia hivi karibuni ya’ First Time’ ambayo unaweza kusikia audio yake kwenye playlist yetu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents