Burudani

Priyanka Chopra akimbizwa hospitali baada ya kuumia akiigiza kwenye Quantico

Staa wa Quantico, Priyanka Chopra amelazimika kukimbizwa hospitali baada ya kuumia wakati akiigiza kwenye tamthilia hiyo.

Vyanzo vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Priyanka alipelekwa hospitali Alhamis usiku baada ya kuteleza na kuangukia kichwa. Priyanka alifanyiwa uchunguzi, alitibiwa na kuruhusiwa kuondoka baadaye.

Msemaji wake alidai kuwa Priyanka anapumzika kwa sasa na ataendelea na kazi wikiendi hii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents