Michezo

Rafael Nadal kurejea uwanjani kupitia Davis Cup

Mchezaji tennis, Rafael Nadal huwenda akarejea katika mchezo huo kupitia michuano ya Davis Cup hatua ya robi fainali nchini Hispania na kukabiliana na Ujerumani mwezi ujao baada ya kusumbuliwa na majeraha kwa muda mrefu.

Nadal yupo nje ya uwanja tangu mwezi Januari baada ya kupata majeruhi yaliyompelekea kushindwa kuendelea na hatua ya robo fainali dhidi ya Marin Cilic michuano ya Australian Open.

Hispania itaikabili Ujerumani huko Plaza de Toros kuanzia Aprili 6-8.

Nadal anajipanga kurejea tena kwa mara yake ya kwanza katika michuano hiyo ya Davis Cup.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents