Habari
Rais atengua uteuzi wa DED wa Mafia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Kassim Seif Ndumbo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia.
Imeandikwa na Mbanga B.