Habari

Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi wa Mkinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga, Emmanuel Mkumbo. Uteuzi wa Mkurugenzi mpya atakayejaza nafasi hiyo utatangazwa hapo baadaye.

Rais-Magufuli

Mkurugenzi huyo aliyetumbuliwa kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumtishia bastola askari wa kike wa usalama wa barabarani (Traffic). Soma taarifa hii kutoka Ikulu.

kutengua

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents