Siasa
Rais Samia awataka TUCTA kutoa ushirikiano wa kutosha kumaliza jambo la kikokotoo
”Kuhusu kikokotoo, Serikali tutakaa na TUCTA kuangalia jinsi tutakavyoweza kufanya, naomba TUCTA kutoa ushirikiano wa kutosha katika jambo hili ili mwaka huu tuweze kumaliza jambo la kikokotoo na maslahi ya Watumishi yaweze kupatikana kwa kiwango cha kuridhisha,”- Rais Samia Suluhu Hassan