HabariMichezo

Raja CA kuingia kwa tahadhari vs Simba SC (+Video)

Kocha wa Klabu ya Raja Casablanca, Mondher Kebaier  amedai kuwa wataingia kwa tahadhari kwenye mchezo wao dhidi ya @simbasctanzania kwakuwa imezifunga timu nyingi Benjamin Mkapa, pia wamekuwa na matokeo mazuri kwenye michuano hiyo ya CAF.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents