Burudani

Rich Mavoko: Mkataba wangu na King Kaka haukuwa na limitation

Msanii mpya wa lebo ya Wasafi, Rich Mavoko amefafanua mkataba wake wa mwanzo aliosaini na menejimenti ya King Kaka.

13277779_909000139226068_175520434_n

Rich Mavoko kwa sasa amefanikiwa kusaini mkataba mpya wa miaka 10 na lebo ya Wasafi inayomilikiwa na Diamond. Akiongea kwenye kipindi cha XXL, kinachoruka kupitia Clouds FM, Rich Mavoko alisema kuwa makubaliano yake na King Kaka hayakuwa na limitation yeyote.

“Nafikiria yalikuwa ni makubaliano tu hayakuwa na limitation yeyote, muda wowote kama mimi sijaridhika ninaweza nikatengua makubaliano hayo. Kwahiyo tukapatana nikatengua makubaliano hayo before hata kuingia wasafi,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents