Burudani

Rick Ross: Haki ya nani nikikutana na Adele nitampiga busu

Rick Ross anampenda Adele kiasi ambacho anasema siku wakikutana atampiga busu – patamu hapo!

adele-rick-ross

Akiongea kwenye mahojiano na jarida la Rolling Stone, Ross alisema:

Nampenda Adele. Nikumuona naweza nikambusu Adele. Anazungumza kwa niaba ya watu wengi. Ninaposikia sauti yake huwa nasimama na kutengeneza ile sura na kusema, ‘What the f*ck, man?’ Huwa naangalia juu angani na kufikiria kiubunifu zaidi.”

“Hata kwa mtu kama mimi, ambaye sifanyi kazi ili niwe na sauti nzuri duniani naweza kuitambua.”

Rick Ross aliwahi kutoa remix ya wimbo Hello wa muimbaji huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents