Burudani

Rushayna afunguka kufuata pesa kwa Manara “nimepewa talaka moja”

Aliyekuwa mke wa @hajismanara , @rushaynah_ amefunguka kwa mara ya kwanza kilichotokea kati yake na alieyekuwa mume wake huyo ambapo amedai amepewa talaka moja.

Mrembo huyo ambaye leo amelamba dili la ubalozi la @emish_training_centre , amedai kwamba mambo mengi yaliyozungumzwa mtandaoni sio ya kweli ndio maana akaamua kukaa kimya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents