Habari
Sehemu unazoweza kununua tiketi za Under-30 Youth Awards, tuzo zitatolewa Jumamosi, 17 August
Pata tiketi yako yako na kuwa sehemu ya tuzo za kwanza na kubwa kabisa za vijana, Under-30 Youth Awards 2013. Tuzo hizo zitafanyika Jumamosi hii, 17 Agosti 2013, Makumbusho ya Taifa Opposite na IFM.
Tiketi sasa zinapatikana Samaki Samaki-MCity, Imalaseko Supermarket Posta, Shear Illusion-Millenium Towers, Hussein Pambakali-Kinondoni Studio, Kariakoo na Sinza Kumekucha.