Burudani

Selena Gomez apata dili nono

Baada ya dhiki ni faraja ikiwa zimepita siku kadhaa kwa msanii wa muziki na muigizaji nchini Marekani, Selena Gomez kutangaza kufanyiwa upasuaji na kuwekewa figo kutoka kwa rafiki yake iliapambane na ugonjwa wa Lupus, hatimaye mrembo huyo amepata dili nono kutoka  kampuni ya PUMA inayojihusisha na mavazi.

Selena anaungana na mpenzi wake The Weeknd, na mwanamuziki Rihanna katika dili hilo la kufanya kazi na kampuni ya mavazi ya PUMA. Hii ni kwa mujibu wa tarifa iliyotolewa na jarida la Vogue, iliyoeleza kuwa mrembo huyo ataungana na mastaa hao katika kupromoti brand hiyo.

“Being part of the PUMA family is very exciting for me. PUMA has changed the game when it comes to the mash-up of athletic wear and fashion. It’s amazing to see this influence on style and culture and I’m excited to be a part of it. I am hoping that we can create something special together. We already have some really cool projects in the works,” imeeleza taarifa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents