Michezo

Sherukindo: Hatutaki timu ya akina Samatta ishuke daraja, Man United, Arsenal yupo kuingia Top four (+Video)

Hatutaki timu ya Akina Samatta Aston Villa washuke daraja., Michezo mingi imerejea DStv ligi mbalimbali zikiwemo Epl, La liga, Serie A michezo mingine mingi yote yanapatika Katika king’amuzi cha DStv.

Ikiwa ligi ya Uingereza tayari bingwa amepatikana je vipi kuhusu vilabu vitatu vitakavyoshirikiana na Liverpool katika Michuano ya klabu bingwa UEFA.

Manchester City, Leicester City, Chelsea, Manchester United bila kusahau Wolves Sheffield United, Arsenal na Tottenham vyote vinasaka kuingia top 4..! Utabiri wako ni upi lakini bila kusahau michezo yote inapatikana DStv.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents