Burudani
Shetta amkaribisha Rich Mavoko King’s Empire (Video)
Mkurugenzi wa King Empire, Shetta amefunguka kuzungumzia tetesi kwamba wapo kwenye mkakati ya kusaini mkataba na muimbaji Rich Mavoko ambaye amekorofishana na label yake ya WCB. Pia Shetta amedai mpaka sasa ana miezi 6 hajaonana wala kuzungumza na aliyekuwa rafiki yake wa karibu Diamond Platnumz.
Shetta ni MTU mwema sana
Na shetta ana label duuuh makubwa na yey ni maneger hatali
sheta kapotea alafu anamtaka mavoko na yeye ampoteze……puuuuuuuu shetta
Unajua alichomaanisha nandy aslay the mafic wote wanasimamiwa na menejiment ya akina sheta
wcb is made for Harmonize & Mond,hao wengine ni wakamilishaji tu wa list,see kila siku anaeachia nyimbo ni Harmonize,wengine kimya kama maji mtungini π
sioni kama anaweza kufikia mafanikio aliyokua anapata wcb……ila kila la kheri infact mavoko ni mkali napenda song zake
Kwan wao hawatoi, ktu kingne ni kujbrand na fanbase,
Mbosso mbona wimbo wake unafanya vizr @nadekezwa, chombo by Rayvanny the same to Lavalava @gundu, zaid unataka nn?
Chombo haifanyi vizuri acha uongo
Kerewa kerewa nidanganye duuh kumbe mna miezi sita hamjapiga hata story .. Mavoko nenda kwa shetta mkaungane mond ana dharau sana
lavalava kila mwezi anatoa ngoma vile vile kwa rayvanny na mbosso, yy #rich_mavoko kama alikuwa analala lala anatengemea nani amtolee
Shetta good MPE material mavoko
Kwani hujui king empire. Inayo msimamia ruby , Nancy na the mafick
Nandy
ππππbongo bana unashangaa sheta wakati adi man fongo ana lebo
sio mbaya ila alipe pesa ya kuvunja mkataba wcb
KAPIMWE MKOJO
πΈπΈπΈ
Hahaha et chombo haifanyi vizuri wakati inatikisa miaba
πππππ»π¨
Yy mwenyew shetta hasikiki antk n mwenzie akaptee
Good
Hatari baraka