Michezo

Simba ‘yawa-brand’ wachezaji wake wote kwa ‘style’ ya kipekee

Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara, Simba Sports Club hii leo siku ya Jumatatu Februari 17, 2020 imeamua kuweka wazi akaunti za Instagram za wachezaji wake wote kasoro Kocha Mkuu wa klabu hiyo Mbelgiji,  Sven Vanderbroeck.

Simba SC imeamua kuzianika hadharani akaunti hizo za mtandao wa kijamii wa Instagram ikionekana kama sehemu ya ‘Kuwa-brand’ wachezaji wake ili mashabiki wa timu hiyo kuanza kuzitembelea na hata kuwaongezea ‘followers’.

Hata hivyo miamba hiyo ya soka Afrika, Simba imeacha kutaja akaunti ya Kocha wake Mkuu, Mbelgiji,  Sven Vanderbroeck kwa kile kilichosema hatumii mtandao huo.

https://www.instagram.com/p/B8qBeIpn9Sy/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents