Michezo

Singida United yatangaza kikosi chake Vs Yanga SC, Dany Usengimana ndani

Klabu ya Singida United imetangaza kikosi chake kitakacho shuka uwanja wa Taifa hii leo kuwakabili mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara timu ya Yanga SC.

Singida United inayonolewa na aliyekuwa kocha Mkuu wa Yanga SC, Hans Van Pluijm itaingia uwanjani huku mchezaji wake raia wa Rwanda, Dany Usengimana akianzia benchi baada ya kurejea kutoka kwao alipokuwa amekwenda kushughulikia matatizo ya kifamilia.

Hiki hapa kikosi kamili cha Singida United

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents