Song: Jan B ft. Obi Elinami – 360 Kwa Mwaka
Rapper Jan B amerejea tena na ngoma mpya aliyomshirikisha Obi Elinami. 360 kwa Mwaka imetengenezwa na Tinox wa The Mood House Records, Stockholm-Sweden, na kufanyiwa mixing Obi Elinami.